ZEC yatangaza Matokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu 2015 Kwa Majimbo Mawili Upande wa Zanzibar Pekee
LEO
Majira ya saa nane usiku,Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya
Zanzibar, Salim Jecha, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa urais wa
Zanzibar kwa majimbo mawili ya Kiembesamaki na Fuoni, ambapo kwenye
majimbo yote mawili mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, anaongoza.
Zanzibar ilikuwa na majimbo 54
Baki
nasi. Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa kikitokea.....Kwa upande
wa Tanzania Bara,Matokeo ya awali yataanza kutangazwa saa 4
asubuhi
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It
0 comments:
Post a Comment