Katikati ya mwezi September 2015
tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na
Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV
EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya
mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.
Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja ya Best Worldwide Act usiku wa October 25 2015 Jijini Milan Italy.
0 comments:
Post a Comment