Nimekutana na Hii Mahali eti ...Naomba niwaulize Kama kuna ukweli juu ya hii kauli hapa chini"
"Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua
ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata
kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati
sehemu salama ya kuvuka ipo"
0 comments:
Post a Comment