Mbali ya kipaji chake cha kuigiza pia mashabiki wake wanamfahamu kama mmoja wa mastaa ambaye mpaka sasa hajaoa licha ya umri wake kumruhusu.
Kwa miaka mingi DiCaprio amekuwa na uhusiano na wasichana mbalimbali maarufu wakiwemo wanamitindo kutoka sehemu mbalimbali.
Hawa ni wasichana 25 ambao walikuwahi kuwa na uhusiano na staa huyo wa Hollywood.
1. Mwanamitindo Kristen Zang, alianza uhusiano na DiCaprio mwaka 1995-1999
2.Staa wa reality show Trishelle Cannatella
3. Mwanamitindo Erin Heatherton
4. Mwanamitindo Claire Danes
5. Mwanamitindo Toni Garrn
7. Mwanamuziki Rihanna
8. Mwanamitindo Bijou Phillips
9.Mwanamitindo Eva Herzigova
10. Mwanamitindo Helena Christensen
11.Mwanamitindo Naomi Campbell
12. Mwanamitindo Bar Rafaeli
13. Mwanamitindo Miranda Kerr
14. Mwanamitindo Blake Lively
15. Mwanamitindo Giselle Bundchen
0 comments:
Post a Comment