Kama ambavyo katika mitandao ya kijamii watu mbalimbali hupenda kuweka TBT
pichaz zao siku ya Alhamisi na kujikumbushia wapi walipotokea. Kama
kawaida mtu wangu wa nguvu huwa si ruhusu upitwe na kitu, nakusogezea
karibu yako TBT pichaz za kocha wa sasa wa FC Barcelona Luis Enrique, kocha wa FC Bayern Munich Pep Guardiola, kocha wa Man United Louis van Gaal na kocha wa Chelsea Jose Mourinho.
Jose Mourinho na Louis van Gaal
Louis van Gaal na Jose Mourinho wakati wapo FC Barcelona wakiwa sehemu ya benchi la ufundi la FC Barcelona
Pep Guardiola enzi hizo akiwa mchezaji na nahodha wa FC Barcelona
Kocha wa FC Barcelona Luis Enrique na kocha wa FC Bayern Munich Pep Guardiola enzi hizo wakiwa katika klabu ya FC Barcelona
Pep Guardiola akiwa na Jose Mourinho enzi hizo FC Barcelona
0 comments:
Post a Comment