Tuesday, 6 October 2015

Entertainment Rick Ross anaisambaza rasmi single yake mpya ‘Sorry’ feat. Chris Brown

Leave a Comment
Baada ya kufanya interview na The Breakfast Club leo, rapper Rick Ross ameachia single yake mpya ‘Sorry’ ambayo ndani msanii wa R&B Chris Brown ameshirikishwa, wimbo utakaopatikana kwenye album mpya ya Rick Ross ‘Black Market’ itakayokuwa sokoni December mwaka huu.
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: