Tunafahamu kuwa wiki kadhaa zilizopita
mrembo Jokate Mwegelo aliteuliwa kuwa msemo wa kamati mpya ya Miss
Tanzania iliyoundwa hivi karibuni.
Sasa leo Octoba 6, 2015 akizungumza na ripota wako millard kuhusiana na mashindano hayo na kusema…’Actually
kwa wengine wamepokea kitofauti tumepata mitazamo tofauti kuhusiana na
hili tulivyokutana mara ya kwanza kama kamati chini ya mwenyekiti wetu
Bw. Juma Kenzo tukashauriana kwamba ni kitu gani ambacho kitaweza
kuboresha mashindano ya Miss Tanzania’ – Jokate Mwegelo
‘Hili haya
mashindano yaweze kuwa na muelekeo wa kitofauti pale msichana
anapochukulia kuwakilisha mkoa Fulani inakuwa na heshima Fulani tukasema
basi ebu tuangalie mwaka huu itabidi turudie katika enzi zile ambazo
mashindano ya Miss Tanzania yalikuwa yanaanzia kwenye mikoa moja kwa
moja kwenye Taifa’ – Jokate Mwegelo
.
‘Kwa
hiyo hicho ndio ambacho tumeweza kukirudisha katika mashindano ya Miss
Tanzania mwaka huu kwa sasa tutarudi kuwa na Miss Ruvuma, Miss Tanga,
Miss Arusha hakuna tena mashindano ya Kanda lakini kwa upande wa Dar es
Salaam tutakuwa na kanda tatu tu yaani Temeke, Ilala, Kinondoni na
hakuna Mashindano ya Miss Kaskazini’ – Jokate Mwegelo
0 comments:
Post a Comment