Katika kile kinachoonekana kwamba ameridhika na mgombea Urais Tanzania,
kupitia CHADEMA/UKAWA actress na mrembo kiwango Bongo Jaquline Massawe
Wolper, amejinadi kura yake ya Urais Oktoba anaipeleka kwa mgombea huyo
Edward Lowassa.
Kupitia Instagram Jack, anashare picha kadhaa za matukio yanayoendelea kwenye kambi ya UKAWA.
Katika ‘line’ nyingine, Wolper amewaacha midomo wazi followers wake
zaidi ya laki 6 Instagram baada ya kutangaza kuanzia kipindi hiki
ataitwa Jaquline Wolper Lowassa.
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It
0 comments:
Post a Comment