Friday, 16 October 2015

Dakika 6 za CCM Mbeya na UKAWA Mwanza ! yanayomuudhi Kinana.. Lowassa waliomsubiria hotelini (audio)

Leave a Comment
Zimebaki siku tisa tu mpaka kuifikia October 25 2015 siku ya uchaguzi mkuu Tanzania ambao upo kwenye headlines na CCM, UKAWA na ACT WAZALENDO pamoja na vyama vingine vinavyoshiriki.
Post hii ni maalum kukukutanisha na matukio ya Mwanza na Mbeya ambako CCM na UKAWA wamehusika ambapo kwa Mwanza, ni mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa alivyokua akisubiriwa nje ya hoteli aliyofikia, watu walikua wakikaa nje kwa saa kadhaa ili kumuona, unaweza kusikiliza ilivyokuwa kupitia hii sauti hapa chini.
Kwa upande wa CCM Mbeya, Katibu wake mkuu Abdulrahman Kinana aliongea na Wananchi na nina mnukuu akisema ‘Sisemi kwamba CCM hatujafanya makosa, tumefanya makosa na tumekuwa na kasoro pamoja na mapungufu lakini nani asie na mapungufu? tumejitahidi wengine walaji wengine waporaji, wengine hawasaidii Wananchi, wengine uongozi kwa maslahi yao… haya ni mambo tunahangaika kubadilisha kila siku

If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: