Tuesday, 13 October 2015

Balozi Juma Mwapachu amehama Chama cha CCM?? Kilichonifikia ni hiki..

Leave a Comment
Kuna stori ambayo imesambaa tayari kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja ya Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama CCM… Kuna ukweli wowote?
Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha Balozi Juma Mwapachu kutangaza kujitoa CCM >>> “MWAPACHU ATOKA CCM: Kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, adai chama kimepoteza dira, hajaamua kujiunga chama kingine“>>> Hiyo ni nukuu ya stori iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi.
unnamed
Kwenye ukurasa wa Twitter wa Kituo cha Television cha ITV nako imeripotiwa taarifa hiyo >>> “ Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kuanzia kesho hatokuwa mwanachama wa CCM na atarejesha kadi ofisi ya CCM kata ya Mikocheni DSM” >>>@ITVTANZANIA
Mwapachuree
Hizi hapa ni post ambazo zimesambazwa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu stori hiyo.
unnamed II
Mwapa
If You Enjoyed This, Take 5 Seconds To Share It

0 comments: